Mto Pungwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bonde la Pungwe katika Mbuga ya Kitaifa ya Nyanga, Zimbabwe

Mto Pungwe (pia: Pungue na Pungoe) ni mto wa Zimbabwe na Msumbiji unaotiririka hadi kuishia katika Bahari ya Hindi.

Urefu wake ni km. 400.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Pungwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.