Nenda kwa yaliyomo

Mto Montepuez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Montepuez ni mto wa Msumbiji unaotiririka kusini kwa mto Ruvuma. Maji yake yanaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Montepuez kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.