Lahn
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mto Lahn)
Mto Lahn ni tawimto la Rhine nchini Ujerumani. Una urefu wa kilomita 245 ukipita kwenye majimbo ya shirikisho ya Rhine Kaskazini-Westfalia (km 23.0 ), Hesse (km 165.6), na Rhine-Palatino (km 57.0).
Chanzo chake kiko kwenye milima ya Rothaargebirge ukiishia kwenye mto Rhine huko Lahnstein, karibu na Koblenz.
Miji muhimu kando ya Lahn ni pamoja na Marburg, Gießen, Wetzlar, Limburg an der Lahn, Weilburg na Bad Ems.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Sehemu ya juu ya Lahn huko Buchenau
-
Bata-maji kwenye Lahn kati ya Gießen na Wetzlar
-
Mto Lahn huko Marburg
-
Lahn ikipita Runkel
-
Lahn huko Limburg
-
Mto Lahn mjini Diez
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Lahn Valley Tourist Association Ilihifadhiwa 11 Aprili 2015 kwenye Wayback Machine.
- Lahn guide for canoeing
- Information for boat captains
- Stream gauges of the Lahn Valley
- Lahnhöhenweg and Limesweg hiking trails Ilihifadhiwa 21 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.
- Lahntalradweg bicycle route
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lahn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |