Lahn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Lahn ni tawimto la Rhine nchini Ujerumani. Una urefu wa kilomita 245 ukipita kwenye majimbo ya shirikisho ya Rhine Kaskazini-Westfalia (km 23.0 ), Hesse (km 165.6), na Rhine-Palatino (km 57.0).

Chanzo chake kiko kwenye milima ya Rothaargebirge ukiishia kwenye mto Rhine huko Lahnstein, karibu na Koblenz.

Miji muhimu kando ya Lahn ni pamoja na Marburg, Gießen, Wetzlar, Limburg an der Lahn, Weilburg na Bad Ems.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lahn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.