Lahnstein
Mandhari

| Lahnstein | |
| Nchi | Ujerumani |
|---|---|
| Jimbo | Rhine-Palatino |
| Idadi ya wakazi | |
| - Wakazi kwa ujumla | 17.980 |
| Tovuti: http://www.lahnstein.de/ | |
Lahnstein ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani ya Magharibi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 17.980.
Lahnstein ipo kando ya mistari miwili ya reli, mistari ya mashariki ya Rhine kuna vituo cha Niederlahnstein na Oberlahnstein, kuna huduma za mstari RB10 ya kampuni VIAS, (Neuwied - Koblenz - Wiesbaden - Frankfurt, kituoni cha Niederlahnstein kuna huduma za treni za kampuni DB Regio, sehemu Lahn-Eifel-Bahn (Giessen - Limburg - Diez - Koblenz - Mayen.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lahnstein kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
