Nenda kwa yaliyomo

Mto Komati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Komati.

Mto Komati ni mto wa Afrika Kusini, Eswatini na Msumbiji unaoishia katika Bahari ya Hindi.

Urefu wake ni km 480 hivi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Komati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.