Mto Gongola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya mto Gongola

Mto Gongola ni mto unaopatikana nchini Nigeria. Chanzo chake Huanzia kwenye mteremko wa Jos na kuangukia kwenye bonde la Gongola. Mkondo wake ni mita za ujazo 1420. Mto huu unapita katika miji ya Numan na Gombe.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Reuben K. Udo (1970). Geographical regions of Nigeria. University of California Press. p. 150 "Gongola River". Encyclopædia Britannica. Retrieved 2010-05-21.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Gongola kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.