Nenda kwa yaliyomo

Mto Boyne

Majiranukta: 53°43′N 6°15′W / 53.717°N 6.250°W / 53.717; -6.250
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Boyne na bonde lake.

Mto Boyne ni mto katika Leinster, Ireland, ambao mkondo wake una urefu wa kilomita 112 (maili 70). Huanzia katika kisima cha Trinity, Newbury Hall, karibu na Carbury, kata ya Kildare, na kuelekea Kaskazini kupitia Kata Meath kufikia Bahari Kiayalandi kati ya Mornington, kata ya Meath na Baltray, kata ya Louth. Salmonina trout hupatikana katika mto huu, ambao unazungukwa na Bonde la Boyne. Katika magharibi huvukwa na daraja la Mto Boyneambalo hubeba barabara ya M1na pia Boyne Viaduct ambayo hubeba reli ya Dublin - Belfast katika mashariki.

Lichs ys mkondo wake mfupi, Boyne ina sifa za kihistoria. Hupitia karibu na mji wa kale wa Trim, Ikulu ya Trim , ya Mlima wa Tara (mji mkuu wa kale wa mfajme mkuu wa Ireland), Navan, Mlima wa Slane, Bru na Bóinne (eneo la makumbusho), Mellifont Abbey, na miji ya Drogheda. Katika Bonde la Boyne pia kupatikana maeneo mengine ya kihistoria na makaburi, kama Loughcrew, Kells, Celtic, majumba, na zaidi. Mapigano ya Boyne, vita kubwa katika historia Kiayalandi, yalifanyika kando ya katika Boyne karibu na Drogheda mwaka wa 1690 wakati wa vita vya Williamite Ireland.

Mto huu inajulikana tangu zamani. mwanajiografia wa Kigiriki Ptolemy alichora ramani ya Ireland katika karne ya 2 ambayo ilikuwa pamoja na Boyne, ambao aliita Bubinda, na baadaye Giraldus Cambrensis aliuita Boandus. Katika hadithi za [0}Kiayalandi inasemekana mto huu uliundwa na miungu wa kike Boann ( 'Malkia' au 'miungu'), kulingana na F. Dinneen, mtafiti wa lugha ya Gaelic ya Irish , na jina Boyne ni zao la jina hilo. Katika hadithi zingine, ilikuwa katika mto huu ambapo Fionn mac Cumhail alimshika Fiontán, Salmoni ya ujuzi.

Urambazaji katika Boyne ni pamoja na jamii ya mitaro katika mto mkuu kuanzia karibu na daraja la zamani hadi. Inayomilikiwa na An Taisce na sasa derelict, ya Shirika la njia za maji katika Ireland linarejesha uwezo wa urambazaji wa mto huu .

Kuna reli kadhaa na madaraja yanayovuka Boyne ambayo yanajulikana.

Meli[hariri | hariri chanzo]

Katika mwaka wa 2006, mabakio ya meli yalipatikana katika ufuko wa mto hu katika Drogheda wakati wa oparesheni za kuchimba. Chombo hiki kiliondolewa kwani kilikuwa na uwezo wa kuleta hatari kwa urambazaji. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Viking News". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-15. Iliwekwa mnamo 2010-01-25.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

53°43′N 6°15′W / 53.717°N 6.250°W / 53.717; -6.250

Makala hii kuhusu maeneo ya Ireland bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Boyne kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.