Mtimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtimbi
(Imperata cylindrica)
Mitimbi
Mitimbi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama jaja)
Oda: Poales (Mimea kama manyasi)
Familia: Poaceae (Mimea iliyo mnasaba na manyasi)
Nusufamilia: Panicoideae
Jenasi: Imperata
Cirillo
Spishi: I. cylindrica
(L.) P. Beauv.

Mtimbi au msufi wa bara (Imperata cylindrica) ni aina ya nyasi inayoishi miaka mingi. Asili yake ni Asia lakini umewasilishwa katika mabara mengine. Katika Afrika nyasi hili limekuwa mmea msumbufu mbaya sana.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]