Msikiti wa Kizimkazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa msikiti wa Kizimkazi mnamo karne 19
Muonekano wa msikiti wa Kizimkazi mnamo karne 19

Msikiti wa Kizimkazi (Msikiti wa kale wa Kizimkazi Dimbani) ni msikiti ulioko katika mji wa Dimbani, Wilaya ya Kusini katika Mkoa wa Unguja Kusini nchini Tanzania.

Uko kwenye ncha ya kusini ya kisiwa cha Zanzibar nchini Tanzania na ni moja ya majengo ya zamani zaidi ya Kiislamu katika pwani ya Afrika Mashariki. Licha ya jina lake, iko Katika Dimbani, sio Kizimkazi, ambayo ni maili 3 (kilomita 4.8), mbali (hii ni kwa sababu majina rasmi ya vijiji hivi viwili vilivyoungana ni Kizimkazi Dimbani na Kizimkazi Mtendeni) [1]

Muonekano wa msikiti wa Kizimkazi mnamo karne ya 20
Muonekano wa msikiti wa Kizimkazi mnamo karne ya 20

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Division Dialogue, Jul, 2016". PsycEXTRA Dataset. 2016. Iliwekwa mnamo 2022-08-05.