Msafsafi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msafsafi
(Salix spp.)
Picha ya Msafsafi mweupe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Malpighiales (Mimea kama mwenda-usiku)
Familia: Salicaceae (Mimea iliyo na mnasaba na msafsafi)
Jenasi: Salix (Misafsafi)
L.

Misafsafi (kutoka Kiarabu: صفصاف; Kilatini: Salix) ni familia ya miti fulani imeayo kando ya maji mengi katika Nusudunia ya Kaskazini. Misafsafi inayojulikana sana ni Msafsafi wa Babeli (Salix babylonica) kutoka Uchina na Msafsafi Mweupe (Salix alba) kutoka Ulaya.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Salix, Msafsafi (Willow)

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msafsafi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.