Msafiri
Mandhari
"Msafiri" | ||
---|---|---|
Wimbo wa Kwanza Unit | ||
Umetolewa | 1999-2000 | |
Umerekodiwa | 1998-1999 | |
Aina ya wimbo | Hip hop | |
Lugha | Kiswahili | |
Urefu | 4:12 | |
Studio | MJ Records | |
Mtunzi | Kwanza Unit | |
Mtayarishaji | Rhymson |
Msafiri ni jina la kutaja wimbo uliotungwa na kuimbwa na kundi zima la Kwanza Unit. Mashairi yake anazungumzia hali halisi ya maisha. Kutoka dhikini kwenda katika maisha ya kati. Kama jinsi ilivyo nyimbo za hip hop, humu maelezo ya harakati ni mwanzo mwisho. Vilevile walifanya remixi yake na Mzee King Kikii. Wimbo unatoka katika albamu yao ya mwisho ya Kwanzanians.