Nenda kwa yaliyomo

Mpundi Decca

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mpudi Decca alikuwa msanii wa kurekodi muziki na mpiga gitaa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Aliwahi kuwa mwanachama wa bendi ya muziki ya Kongo TPOK Jazz, iliyoongozwa na François Luambo Makiadi, ambayo ilitawala sana tasnia ya muziki ya Kongo kuanzia miaka ya 1950 hadi 1980.