Gitaa kavu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfano wa gitaa la C.F. Martin

Gitaa kavu (au gitaa lisilotumia umeme) ni chombo cha muziki katika familia ya gitaa, ambacho nyuzi zake hutoa sauti kikavukavu hewani. Kiasili liliitwa gitaa tu, neno kavu lilikuja kutumika baada ya kukua kwa teknolojia na kutofautishwa kwake na matumizi ya gitaa la umeme—ambalo hutumia nguvu ya umeme kutengeneza mfumo wake wa sauti.

Picha za magitaa[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Jisomee[hariri | hariri chanzo]