Mpangizo
Katika utarakilishi, mpangizo wa mfumo (kwa Kiingereza: computer configuration au settings) ni programu inatumika ili kubadilisha sifa za mfumo wa uendeshaji.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).