Mousa Dembele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji Mousa Dembélé akichezea timu yake ya taifa ya Ubelgiji.

Mousa Dembélé (amezaliwa tarehe 6 Julai mwaka 1987) ni mchezaji wa kitaalamu anayecheza kama kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspurs iliyopo ligi kuu Uingereza na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Dembélé alianza kazi yake ya uchezaji katika klabu ya Germinal Beerschot iiliyopo nchini Ubelgiji. Dembélé alihamia katika ligi kuu ya uingereza mwaka 2010 katika klabu ya Fulhamu na baadaye kujiunga na Tottenham Hotspurs kwa £ milioni 15.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mousa Dembele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.