Nenda kwa yaliyomo

Mostefa Bouchachi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mostefa Bouchachi

Mostefa Bouchachi (kwa Kiarabu: مصطفى بوشاشي; alizaliwa 1954 huko Sidi Abdelaziz, katika mkoa wa sasa wa Jijel, Algeria) ni mwanasheria na mwanasiasa wa Algeria. Alikuwa rais wa ligi ya Algeria ya kutetea haki za binadamu (LADDH) kuanzia 2007 hadi 2012. [1]

  1. "Me Mustapha BOUCHACHI, la CNCD et LES CONCEPTIONS DU CHANGEMENT EN (...) - socialgerie". socialgerie.net. Iliwekwa mnamo 9 Aprili 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mostefa Bouchachi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.