Moshoeshoe Chabeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amezaliwa Moshoeshoe Chabeli
Afrika Kusini
Amekufa 30, oktoba, 2013
Kazi yake Mwigizaji wa filamu nchini Afrika Kusini

Moshoeshoe Chabeli alifariki mnamo mwaka 2013 Oktoba 30,alikuwa mwigizaji wa filamu nchini Afrika Kusini. [1][2]

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

Alifanikiwa kuonyesha filamu yake mbele ya Harold mnamo mwaka 2003,Stander with Thomas Jane.[3] He also portrayed the Priest in the 2013 film, The Forgotten Kingdom.[4] On television he appeared in the sitcom, Mponeng', ambayo ni marekebisho ya Afrika Kusini ya sitcom ya Uingereza, Keeping Up Appearances.[5]

Kifo[hariri | hariri chanzo]

Allifariki Oktoba 30 2013 kutokana na maradhi ya kansa .[2]

Filamu alizo wahi kushiriki[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "MOSHOESHOE DESCRIBED AS 'GENTLEMAN'". Eyewitness News (South Africa). 1 November 2013. Iliwekwa mnamo 6 October 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 Drum Digital (1 November 2013). "Legendary actor dies". News24. Iliwekwa mnamo 6 October 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Willis, John; Monush, Barry (2006). Screen World: 2005 Film Annual. Hal Leonard Corporation. ISBN 9781557836687. page 307
  4. Johnston, Trevor. "The Forgotten Kingdom". Radio Times. Iliwekwa mnamo 6 October 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "All eyes on Lillian". Independent Online (South Africa). 7 February 2005. Iliwekwa mnamo 6 October 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moshoeshoe Chabeli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.