Nenda kwa yaliyomo

Moses Kiprono arap Keino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Moses Kiprono arap Keino (Septemba, 1937 - Novemba 4, 1998) alikuwa spika wa bunge la Kenya kuanzia 1988 hadi 1991. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Opalo, Ken Ochieng' (Juni 20, 2019). Legislative Development in Africa: Politics and Postcolonial Legacies. Cambridge University Press. ISBN 9781108579964 – kutoka Google Books.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)