Moriso Lewa
Mandhari
Moriso Lewa (au Félix Morisseau-Leroy kwa Kifaransa; Grand-Gosier, Haiti, 13 Machi 1912 - Miami, Marekani, 5 Septemba 1998) alikuwa mwanahabari, mwalimu, mwandishi wa tamthilia na mshairi nchini Haiti.
Aliandika vitabu vyake kadhaa kwa Kihaiti badala ya Kifaransa. Ni mwandishi mkuu wa Kihaiti.
Morisso Lewa alisomea Jacmel, halafu kuanzia mwaka 1940 alisomea New York katika Chuo Kikuu cha Columbia.
Vitabu vyake
[hariri | hariri chanzo]- 1940 ː Plénitudes (ushairi)
- 1948 ː Natif-natal (hadithi)
- 1951 ː Dyakout (Diacoute) (ushairi)
- 1953 ː Wa Kreyon (Antigone) (tamthilia)
- 1991 ː Haitiad and Oddities (ushairi)
- 1995 ː Les Djons d'Haiti Tom (hadithi)
- 1996 : Ravinodyab - La Ravine aux diables (hadithi)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Michael R. Hall, Historical Dictionary of Haiti, Scarecrow Press, 2012, p. 178 (ISBN 9780810875494)
- (Kiingereza) Verity Smith, « Félix Morisseau-Leroy (1912-). Haitian playwright, poet and novelist », in Encyclopedia of Latin American Literature, Taylor & Francis, 1997, p. 568-569 (ISBN 9781884964183)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Moriso Lewa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |