Matterhorn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Monte Cervino)
Mlima wa Matterhorn

Matterhorn (kwa Kiitalia: Monte Cervino) ni mlima wa Alpi kati ya nchi za Italia na Uswisi (Ulaya).

Urefu wake ni mita 4,477 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]