Nenda kwa yaliyomo

Mohammad Ansari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mohammad Ansari

Mohammad Ansari (alizaliwa Tehran, Iran, 23 Septemba 1991) ni mchezaji wa soka wa Irani, ambaye sasa anacheza katika klabu ya Persepolis.

Persepolis[hariri | hariri chanzo]

Ansari alijiunga na klabu ya Persepolis kutoka katika Ligi ya Azadegan Shahrdari Tabriz. Ansari alicheza vizuri na hatimaye akawa katika kikosi cha kwanza cha klabu hiyo pia hucheza kama beki wa klabu hiyo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohammad Ansari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.