Moeka Minami

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Moeka Minami (alizaliwa 7 Desemba 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya AS Roma inayoshiriki ligi ya Italia Serie A.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moeka Minami kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.