Mnara wa taa wa Ponta do Norte
Mandhari
Mnara wa taa wa Ponta Norte ni Mnara wa taa katika eneo la Kaskazini mwa kisiwa cha Sal, nchini Cape Verde. Karibu na eneo la Ponta Norte. Mnara wa taa wa asilia ulikuwa mnara wa chuma wenye urefu wa mita 13, uliojengwa mnamo mwaka 1897. Mnara huu ulibadilishwa na jengo la mawe mnamo mwaka 1940.[1]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- A photo of the lighthouse in ruins at e-Caboverde Archived 11 Oktoba 2016 at the Wayback Machine.
- List of lights, radio aids and fog signals 2019 - The west coasts of Europe and Africa, the Mediterranean Sea, Black Sea and Azovskoye More
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Ponta do Norte kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |