Mnara wa taa wa Ponta do Barril

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa kisiwaMnara wa taa.

Mnara wa taa wa Ponta do Barril ni mnara wa taa unaopatikana upande wa magharibi mwa kisiwa cha São Nicolau kilichopo Cape Verde. Mnara huu upo umbali wa takribani kilometa 8 kutoka kaskazini magharibi mwa Tarrafal de São Nicolau na mita 5 Kusini-Magharibi mwa kijiji kilichopo karibu kinachoitwa Praia Branca. Mnara wa taa wa Ponta do Barril ulijengwa mnamo mwaka 1891. Na urefu wake kwenda juu ni mita 13.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Ponta do Barril kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.