Nenda kwa yaliyomo

Mnara wa taa wa Ponta Varandinha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
kisiwa cha Boa vista

Mnara wa taa wa Ponta Varandinha ni mnara uliopo sehemu ya mbele kwenye nchi kavu iliyoko magharibi kabisa mwa kisiwa cha Boa Vista kilichopo nchini Cape Verde, kaskazini mwa pwani ya Praia da Varandinha na kijiji cha Povoação Velha. Mnara wa taa wa Ponta Varandinha una urefu wa mita 22 kwenda juu.

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Ponta Varandinha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.