Mnara wa Msikiti wa Shia Ithnasheri, Zanzibar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mnara wa Msikiti wa Shia Ithnasheri upo Kajificheni, Mji Mkongwe huko Zanzibar.

Ulijengwa mnamo 1894.

Ni mojawapo ya misikiti ya jadi iliyojengwa na ushawishi wa wazi kutoka misikiti ya India.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]