Mlima Silali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Silali ni volkeno ya kale lakini hai yenye kimo cha mita 1,528 juu ya UB.

Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Baringo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]