Namarunu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mlima Namarunu)
Mlima Namarunu ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 817 juu ya UB. Volkano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Turkana. [1]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya milima ya Kenya
- Orodha ya milima ya Afrika
- Orodha ya milima
- Orodha ya volkeno nchini Kenya
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Woolley 2001, p. 108-109.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Namarunu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |