Kizimba (mlima)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mlima Kizimba)
Kizimba ni jina la mlima mkubwa ulioko upande wa kaskazini mashariki mwa Bumbuli, katika wilaya ya Lushoto, Mkoa wa Tanga nchini Tanzania.
Mlima huo ni maarufu sana kwa kuashiria mvua kubwa kunyesha mara wingu linapotanda juu yake.
Ni eneo la kipekee kwani ndiyo mlima mrefu na unaposimama juu ya Kizimba unaona karibu eneo kubwa la Bumbuli.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kizimba (mlima) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |