Nenda kwa yaliyomo

Mlima Homa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Homa ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 1,751 juu ya UB. Volkano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Homa Bay.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]