Mlima Stanley
Mandhari
Mlima Stanley ni mlima katika Afrika ya Kati kwenye mpaka wa Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ni mlima wa Safu ya Ruwenzori.
Una kimo cha mita 5109 juu ya UB.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Stanley kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |