Mlima Stanley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
MtStanley 2.JPG

Mlima Stanley ni mlima katika Afrika ya Kati kwenye mpaka wa Uganda na JK Kongo.

Ni mlima wa Safu ya Ruwenzori.

Una kimo cha mita 5109 juu ya UB.