Mkoa wa Ziguinchor
Mandhari


Mkoa wa Ziguinchor ni mkoa mmojawapo nchini Senegal. Makao makuu yako mjini Ziguinchor. Eneo la mkoa ni kilomita za mraba 7,352. Wakati wa sensa ya mwaka 2013 mkoa ulikuwa na wakazi 549,151[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Senegal: Administrative division, tovuti ya citypopulation.de, iliangaliwa Januari 2022
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ziguinchor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |