Mkato ulalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfano wa mkato ulalo.

Katika utarakilishi na uchapaji, mkato ulalo (kwa Kiingereza: Strikethrough) ni uwasilishaji wa uchapaji wa maneno yenye mstari wa mlalo unaopitia katikati. Kwa mfano, mkato ulalo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).