Mji wa Ho Chi Minh
Mandhari
Mji wa Ho Chi Minh | |
Mkoa | Mji wa Ho Chi Minh |
Anwani ya kijiografia | 10°2'N, 106°51'E |
Kimo | 18 m juu ya UB |
Eneo | 2095 km² |
Wakazi | 7.383.800 (2009) |
Msongamano wa watu | watu 2.095 kwa km² |
Simu | 84 (nchi), 4 (mji) |
Mahali | |
Mji wa Ho Chi Minh (Kivietnam: Thành phố Hồ Chí Minh, Sài Gòn) ni mji mkubwa nchini Vietnam mwenye wakazi zaidi ya milioni 7,1. Iko katika kusini ya taifa hili. Hadi 1975 ilijulikana kwa jina la Saigon ikiwa ni mji mkuu wa nchi ya Vietnam Kusini. Baada ya kutwaliwa na jeshi ka Vietnam Kaskazini ukapewa jina jipya kwa heshima ya kiongozi ya kaskazini marehemu Ho Chi Minh.