Nenda kwa yaliyomo

Mimi Chakib

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mimi Chakib
Amezaliwa Ameena Chakib
25 Desemba 1913
Misri
Amekufa 20 Mei 1983
Misri
Jina lingine Mimi Chakib
Kazi yake mwigizaji wa Misri

Mimi Chakib au Mimi Shakib (alizaliwa 25 Desemba 191320 Mei 1983) alikuwa mwigizaji wa Misri aliyecheza zaidi majukumu madogo, na alionekana katika zaidi ya filamu 150 kati ya miaka ya 1940 na mwanzoni mwaka 1980.

Aliingia katika filamu mwaka wa 1934 na akaonekana katika filamu kama vile Nahwa al-Majd mnamo mwaka 1949.Muonekano wake wa mwisho wa filamu ulikuwa katika Doa al karawan mnamo 1959 ambapo alionekana pamoja na waigizaji kama vile Faten Hamama na Ahmed Mazhar. Kazi yake ilikuwa kilele katika miaka ya 1940s.

Alishirikishwa katika filamu ya 1982 Hadithi ya Misri.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mimi Chakib kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.