Miliky MiCool

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beatrice Chinery
Amezaliwa Beatrice Chinery
1966
Ghana
Amekufa 10 June 2020
Nchi Ghana
Majina mengine Miliky MiCool
Kazi yake Muigizaji

Beatrice Chinery' anayejulikana kama Miliky MiCool ( 1966Juni 10, 2020) alikuwa mwigizaji wa Ghana. [1] Alipata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwa jukumu lake katika kipindi cha televisheni cha Kejetia, na baadaye akashirikishwa katika Yolo.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alianza kazi yake ya uigizaji mwaka wa 1993. MiCool alicheza nafasi katika kipindi maarufu cha televisheni cha Kejetia mapema miaka ya 2000. Aliendelea kushiriki katika filamu zingine zikiwemo Jamestown Fisherman na Yolo. [2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miliky MiCool kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Ghanaian actress Miliki Micool of 'Kejetia' TV series fame dies". Citinewsroom - Comprehensive News in Ghana, Current Affairs, Business News , Headlines, Ghana Sports, Entertainment, Politics, Articles, Opinions, Viral Content (kwa en-US). 2020-06-11. Iliwekwa mnamo 2020-06-12. 
  2. Online, Peace FM. "Ghanaian Actress Beatrice Chinery A.k.a 'Miliky MiCool' Has Died". Peacefmonline.com - Ghana news. Iliwekwa mnamo 2020-06-10. 
  3. "Ghanaian actress Miliki Micool of 'Kejetia' TV series fame dies". Citinewsroom - Comprehensive News in Ghana, Current Affairs, Business News , Headlines, Ghana Sports, Entertainment, Politics, Articles, Opinions, Viral Content (kwa en-US). 2020-06-11. Iliwekwa mnamo 2020-06-12. 
  4. ""James Town Fisherman TV series has come to stay"". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). 2014-09-16. Iliwekwa mnamo 2020-06-12.