Nenda kwa yaliyomo

Milan Škriniar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Škriniar mnamo 2024

Milan Škriniar (alizaliwa 11 Februari 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Slovakia, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Slovakia.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://editorial.uefa.com/resources/025a-0eb061f4bea6-ce3aa769ec83-1000/round_of_32_-_1st_leg.pdf
  2. "Milan Škriniar". EN.PSG.FR (kwa Kiingereza). 1995-02-11. Iliwekwa mnamo 2024-06-19.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milan Škriniar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.