Nenda kwa yaliyomo

Mikhail Atallah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mikhail Jibrayil (Mike) Atallah ni mwanasayansi wa kompyuta wa Marekani mwenye asili ya Lebanoni, profesa wa kipekee wa sayansi ya kompyuta katika chuo kikuu cha Purdue[1][2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Purdue University - Department of Computer Science - Mikhail J. Atallah". www.cs.purdue.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-07-28. Iliwekwa mnamo 2022-07-28.
  2. "Mikhail Atallah - The Mathematics Genealogy Project". mathgenealogy.org. Iliwekwa mnamo 2022-07-28.