Nenda kwa yaliyomo

Mike Auret

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michael Theodore Hayes Auret (14 Desemba 1936 - 10 Aprili 2020) alikuwa mkulima, mwanasiasa, na mwanaharakati wa Zimbabwe. Akiwa mkatoliki mwaminifu, aliwahi kuwa mwenyekiti na baadaye mkurugenzi wa tume ya kikatoliki ya haki na amani nchini Zimbabwe (CCJP) kuanzia 1978 hadi 1999. Pia aliwahi kuwa mbunge wa Harare ya kati kuanzia 2000 hadi 2003, alipojiuzulu na kuhamia Ireland.[1][2]

  1. Who is Who in Zimbabwe. Harare: Roblaw Publishers. 1991. uk. 13.
  2. Thornycroft, Peta. "Mike Auret (1936–2020): A lifelong campaigner to reveal the truth about Zimbabwe's independence", Daily Maverick, 1 April 2020. 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mike Auret kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.