Nenda kwa yaliyomo

Michoro ya mwambani ya Oran Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michoro ya mwambani ya Oran Kusini ni michoro ya kihistoria inayotokana na kipindi cha Neolithic. Michoro hiyo inapatikana kusini mwa Mkoa wa Oran, Algeria, katika Milima ya Atlas ya Sahara, katika maeneo (kutoka magharibi kwenda mashariki) ya Figuig, Ain Sefra, El-Bayadh, Aflou, na Tiaret.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Published:Arts et Métiers graphiques, Paris, 210 pages et reproductions photographiques.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michoro ya mwambani ya Oran Kusini kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.