Nenda kwa yaliyomo

Michoro ya miambani ya Iheren na Tahilahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Iheren (au Eheren) na Tahilahi ni michoro ya miambani iliyopo katika tambarare ya Tadjelahine. Tambarare hii ipo takribani kilomita 20 magharibi mwa Iherir kwenye milima ya Tassili n'Ajjer huko kusini-mashariki mwa Algeria.

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Michoro ya miambani ya Iheren na Tahilahi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.