Michelle Miller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michelle Miller ni mwandishi wa habari katika shirika la habari liitwalo CBS News na kwa sasa anaendesha kipindi cha CBS This Morning.[1]

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Miller alizaliwa katika jiji la Los Angeles, California, ana shahada ya uandishi wa habari aliyoipata katika Chuo kikuu cha Howard na shahada nyingine kutoka katika chuo kikuu cha New Orleans.[2]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Miller alipokea tuzo ya RTNDA Edward R. Murrow Award mnamo 1998, pia amewahi kupokea tuzo ya National Association of Black Journalists mwaka 1997 .[3] pia amewahi kupokea degree ya heshima kutoka chuo cha St. Francis College

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Miller alimuoa Marc Morial, raisi na mkurugenzi mtendaji wa National Urban League na meya wa zamani wa [New Orleans], Miller na mume wake wamejaaliwa kupata watoto wawili, mmoja alizaliwa mwaka 2002 na wa pili mwaka 2005

Baba ya Miller, Dr. Ross Miller, alikuwa daktari wa kwanza kuhudhuria mauaji ya Robert F. Kennedy yalipokuwa yametokea Juni 5, 1968 .[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Steinberg, Brian. "'CBS This Morning' Adds Michelle Miller, Dana Jacobson to Saturday Lineup", July 13, 2018. Retrieved on July 21, 2018. 
  2. Michelle Miller - CBS News. cbsnews.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-11-20. Iliwekwa mnamo 18 June 2013.
  3. Michelle Miller's Biography (en).
  4. 45 Years After RFK Assassination, Story Of Doctor Who Rushed To His Aid (en-US) (2013-06-05).
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michelle Miller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.