Michael Wawuyo Jr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Michael Wawuyo Jr (anayejulikana zaidi kwa jina la Kaka John; alizaliwa 17 Desemba 1986) ni mwigizaji wa filamu kutoka Uganda. Aling'ara katika mfululizo wa tamthilia ya hostel (msimu wa 1) kwenye NTV, na katika mfululizo wa tamthilia ya Beneath The Lies' na Yat Madit.

Ni mwana wa mwigizaji Michael Wawuyo Sr; anajulikana kutokana na filamu kubwa kama The Last King of Scotland 2006[1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Wawuyos get their act together, gazeti la Monitor, 25.01.2017, iliangaliwa Januari 2021
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Wawuyo Jr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.