Nenda kwa yaliyomo

Mfumo wa lugha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mfumo wa lugha ni namna lugha fulani inavyoundwa, kutokana na sauti, silabi, maneno na sentensi au tungo. Yaani ni ile hali ya kutumia vipashio mbalimbali ambavyo vinahusiana kimaaana unapoitumia lugha. Vipashio hivyo ni kama vile sauti, silabi au neno.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mfumo wa lugha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.