Mfumo wa kishiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Katika utarakilishi, mfumo wa kishiko (kwa Kiingereza: Handle System) ni mfumo ulioumbwa na Corporation for National Research Initiatives ili kuweka "kishiko" kinachohitajika ili kutambua, kufikia na kutumia rasilimali ya mtandao. Mfumo wa kishiko ulipangwa na Bob Kahn.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).