Rasilimali ya mtandao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Resource Description Framework.

Rasilimali ya mtandao (kwa Kiingereza: Web resource) ni vitu vya msingi vinavyoujenga mtandao (World Wide Web). Rasilimali za mtandao zinaorodheshwa katika Resource Description Framework.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.