Nenda kwa yaliyomo

Mezzo Morto Hüseyin Pasha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mezzo Morto Hüseyin Pasha kwenye Jumba la Makumbusho la Wanamaji la Mersin.
Mezzo Morto Hüseyin Pasha kama Admirali Mkuu.

Hussein Mezzomorto (anajulikana kama Hajji Husain Mezzomorto, alifariki mwaka 1701) alikuwa mharamia wa Algeria, dey wa Algiers, na hatimaye Admerali Mkuu (Kapudan Pasha) wa Jeshi la Wanamaji la Milki ya Osmani.

Jina lake la Mezzomorto ni neno la Kiitalia linalomaanisha "nusu-mfu"[1] na alilipata wakati wa mapambano na Wahispania, alipoumia vibaya.

  1. Orhonlu, C. "Hadjdji Husayn Pasha." Encyclopedia of Islam, New Edition. Vol. III. Ed. B. Lewis, V.L. Menage, Ch. Pellat and J. Schacht. Leiden: E. J. Brill, 1971. p. 629.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mezzo Morto Hüseyin Pasha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.