Menyu anzishi
Jump to navigation
Jump to search
Katika utarakilishi, Menyu anzishi (kwa Kiingereza: Start menu) ni sehemu ya kiolesura michoro cha mtumiaji inayotumika kwenye Windows. Menyu anzishi ni kituo kinachoanzisha programu zote za Windows.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).